Kihuaulu

Kihuaulu (pia Kialakamat) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wahuaulu kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kihuaulu imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihuaulu iko katika kundi la Kimaluku.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search